TARATIBU MPYA ZA UPANGISHAJI
Shirika la Nyumba la Taifa Kwa sasa linamiliki jumla ya nyumba 16,429. Kati ya hizi nyumba 1,488 ni za wapangaji wanunuzi (tenant purchasers) na wamiliki wa zamani (ex-owners). Nyumba 9590 ni za malazi na 6,839 ni nyumba za biashara. Mpaka sasa Shirika linatoza kodi kiwango cha chini karibu ya asilimia 45-50 ya kiwango cha soko
www.nhctz.com
No comments:
Post a Comment